read
news & Articles

Lukula: Mechi na Yanga ni kama fainali, ni Derby ya makocha
Kocha Mkuu Charles Lukula, amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite Women’s Premier League (SLWPL) dhidi ya Yanga Princess utakuwa

Tuko Kaitaba leo kuikabili Kagera Sugar
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Kaitaba kuikabili Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC saa utakaopigwa moja usiku. Maandalizi ya mchezo

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Kaitaba
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Kaitaba tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar. Kikosi

Mgunda: Tuko tayari kwa Kagera kesho
Kocha Mkuu Juma Mgunda, amesema maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa kesho saa moja usiku katika Uwanja wa

Queens, Yanga Princess kupigwa kwa Mkapa Alhamisi
Mchezo dhidi ya watani wa wetu wa jadi Yanga Princess wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite Women’s Premier League (SLWPL) ambao awali ulikuwa

Timu yawasili salama Kagera
Kikosi chetu kimewasili salama mchana huu mkoani Kagera tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa Jumatano saa moja usiku