read
news & Articles

Queens kuondoka Kesho Alfajiri kuifuata Mkwawa Iringa
Kikosi chetu cha Simba Queens kesho alfajiri kitasafiri kuelekea mkoani Iringa kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite Women’s Premier

Timu kuelekea Dubai kesho kwa kambi ya wiki moja
Kikosi chetu kinatarajia kusafiri kesho kuelekea Dubai kikiwa na msafara wa watu 38 kwa ajili ya kambi ya mazoezi ya siku saba kujiandaa na

Tumepata pointi tatu kwa KVZ
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya KVZ katika mchezo wa pili wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi uliopigwa Uwanja

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya KVZ leo
Kocha Juma Mgunda amefanya mabadiliko ya mchezaji mmoja katika kikosi kitakachoanza leo dhidi ya KVZ kulinganisha na kile kilichoanza na Mlandege. Mgunda amemuanzisha kiungo

Lukula ataja siri ya ushindi dhidi ya Fountain Gate
Kocha Mkuu Charles Lukula, amesema mabadiliko aliyofanya ya wachezaji wawili yaliifanya timu kuongeza kasi iliyotufanya kutoka nyuma na kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya

Queens yaichapa Fountain Uhuru
Kikosi chetu cha Simba Queens kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti