read
news & Articles

Robertinho: Ushindi dhidi ya Dodoma Kesho ndiyo kipaumbele
Kocha Mkuu Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema tutaingia katika mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji kwa lengo la kutafuta

Timu kuondoka jioni kuifuata Dodoma Jiji
Kikosi cha wachezaji 21 kitaondoka jioni kuelekea jijini Dodoma tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji utakaopigwa Jumapili, Uwanja wa

Timu kurudi mazoezini kesho kujiandaa na Dodoma Jiji
Kikosi chetu kesho asubuhi kitarejea mazoezini kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji utakaopigwa Jumapili Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Maboresho benchi la ufundi: tumeshusha kocha mpya
Uongozi wa klabu umefikia makubaliano ya kumwajiri Ouanane Sellami (42), raia wa Tunisia kuwa kocha msaidizi kwa mkataba wa miaka miwili. Sellami ni mapendekezo ya

Kauli ya Chama baada ya kukabidhiwa tuzo ya Emirate
Kiungo mshambuliaji Clatous Chama amewashukuru wote waliomuwezesha kupata tuzo ya mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Desemba (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the

Robertinho afurahishwa na ushindi
Kocha Mkuu Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema ushindi wa mabao 3-2 tuliopata leo dhidi ya Mbeya City ni jambo la kwanza alilokuwa anahitaji na limemfanya