read
news & Articles

Al Hilal watua jijini Dar
Mabingwa wa Soka nchini Sudan, Al Hilal wamewasili jijini Dar es Salaam tayari kwa kambi ya siku 10 kujiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa

Al Hilal Kutua Dar Kesho kwa mwaliko wa Simba
Mabingwa wa soka nchini Sudan, Al Hilal watatua jijini Dar es Salaam kesho saa sita mchana kwa mwaliko maalumu kutoka kwetu kwa ajili ya maandalizi

Timu yarejea Dar, Wachezaji wapewa mapumziko
Kikosi kimerejea mchana jijini Dar es Salaam kutoka Dodoma baada ya ushindi wa bao moja tuliopata jana dhidi ya Dodoma Jiji. Baada ya kufika

Baleke Afungua akaunti tukipata pointi tatu Jamhuri
Bao pekee lililofungwa na mshambuliaji Jean Baleke limetosha kutupa ushindi dhidi ya Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Dodoma Jiji
Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kuikabili Dodoma Jiji kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Hiki hapa

Preview: Mchezo wetu dhidi ya Dodoma Jiji
Kocha Mkuu Roberto Oliviera ‘Robertinho’ leo atakiongoza kikosi chetu kwa mara ya pili kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji utakaopigwa