read
news & Articles

Tumepoteza mchezo dhidi ya Horoya
Mchezo wetu wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya uliopigwa Uwanja wa Jenerali Lansana Conte nchini Guinea umemelizika

Kikosi Kitakachotuwakilisha dhidi ya Horoya
Kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Jenerali Lansana Conte leo saa moja usiku kuikabili Horoya kwenye mchezo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa

Preview: Horoya vs Simba CAFCL
Baada ya kupita takribani miezi minne kasoro wiki moja tangu tulivyocheza mchezo wa mwisho wa Ligi ya Mabingwa Afrika leo tunacheza ugenini dhidi ya Horoya

Kanoute aelezea Maandalizi dhidi ya Horoya Kesho
Kiungo mkabaji, Sadio Kanoute amesema maandalizi ya mchezo wa kesho wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya yamekamilika. Kanoute amesema kabla ya kuwasili nchini

Kikosi chafanyiwa vipimo vya Covid -19
Kikosi chetu leo asubuhi kimefanyiwa vipimo vya Covid-19 ili kutambua hali zao za kiafya kuhusu ugonjwa huo ikiwa ni sehemu ya kuchukua tahadhari. Shirikisho la

Ahmed aeleza hali ya kikosi nchini Guinea
Meneja Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally amesema kikosi kimewasili salama nchini Guinea jana saa 11 jioni na kila kitu kinakwenda sawa kuelekea mchezo wa kwanza