Kikosi Kitakachotuwakilisha dhidi ya Horoya

Kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Jenerali Lansana Conte leo saa moja usiku kuikabili Horoya kwenye mchezo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Kikosi chetu kimepangwa hivi.

Aishi Manula (28), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Joash Onyango (16), Henock Inonga (29), Sadio Kanoute (13), Pape Sakho (10), Mzamiru Yassin (19), Jean Baleke (4), Ismael Sawadogo (3), Clatous Chama (17).

Wachezaji wa Akiba

Beno Kakolanya (30), Israel Patrick (5), Kennedy Juma (26), Mohamed Ouattara (33), Erasto Nyoni (18), Kibu Denis (38), John Bocco (22), Habibu Kyombo (32), Moses Phiri (25).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER