read

news & Articles

Timu yawasili salama Uganda

Kikosi chetu kimewasili salama nchini ya Uganda tayari kwa mchezo wa tatu wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Vipers utakaopigwa Jumamosi. Kesho kikosi kitafanya

Robertinho awapongeza wachezaji sare ya Azam

Licha ya kutoka sare ya bao moja dhidi ya Azam FC kocha mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amewapongeza wachezaji kwa kupambana kutafuta alama tatu ingawa hatukufanikiwa.

Tumegawana Pointi na Azam kwa Mkapa

Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa umemalizika kwa sare ya kufungana bao moja. Azam walipata

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC