Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Azam Leo

Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Kikosi kamili kilivyopangwa:

Aishi Manula (28), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Kennedy Juma (26), Henock Inonga (29), Sadio Kanoute (13), Pape Sakho (10), Mzamiru Yassin (19), John Bocco (22), Saido Ntibazonkiza (39), Clatous Chama (17).

Wachezaji wa Akiba

Beno Kakolanya (30), Israel Patrick (5), Mohamed Ouattara (33), Jonas Mkude (20), Kibu Denis (38), Nassor Kapama (35), Jean Baleke (4), Habibu Kyombo (32), Moses Phiri (25).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER