Leo jioni kikosi chetu kitaanza safari ya kuelekea nchini Uganda tayari kwa mchezo wa tatu wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Vipers utakaopigwa Jumamosi Uwanja wa St. Mary’s.
Kikosi kitaondoka na jumla ya wachezaji 24 benchi la ufundi pamoja na baadhi ya viongozi.
Kikosi Kamili kitakachosafiri
Makipa
Aishi Manula
Beno Kakolanya
Ally Salim
Mabeki
Shomari Kapombe
Israel Mwenda
Mohamed Hussein
Gadiel Michael
Kennedy Juma
Mohamed Ouattara
Joash Onyango
Henock Inonga
Erasto Nyoni
Viungo
Sadio Kanoute
Mzamiru Yassin
Clatous Chama
Ismael Sawadogo
Saido Ntibazonkiza
Kibu Dennis
Pape Osmane Sakho
Peter Banda
Washambuliaji
John Bocco
Jean Baleke
Moses Phiri
Habibu Kyombo
Wachezaji ambao hawatasafiri
Jonas Mkude, Jimmyson Mwanuke, Mohamed Mussa Augustine Okrah