read
news & Articles

Preview: Mchezo wetu dhidi ya Mtibwa
Leo Saa 10 jioni kikosi chetu kitacheza na Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakaopigwa Uwanja wa Manungu Complex. Kikosi chetu kitashuka

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Jamhuri
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho jioni katika Uwanja wa Jamhuri, Morogoro tayari kujiweka sawa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa

Mgunda: Mchezo dhidi ya Mtibwa utakuwa na ushindani mkubwa
Kocha Msaidizi, Juma Mgunda ameweka wazi sababu zitajazoufanya mchezo wetu wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa Uwanja wa Manungu

Mzamiru afunguka kuelekea mchezo dhidi ya Mtibwa Jumamosi
Kiungo mkabaji, Mzamiru Yassin amesema ushindi katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa Jumamosi katika Uwanja wa Manungu Complex. Mzamiru

Lukula: Mchezo dhidi ya JKT utakuwa mgumu
Kocha mkuu wa timu ya Wanawake ya Simba Queens, Charles Lukula ameweka wazi kuwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Serengeti Lite Women’s Premier

Alichosema Robertinho baada ya ushindi wa jana dhidi ya Vipers
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amewasifia wachezaji kwa jitihada kubwa walizofanya kufanikisha ushindi wa bao moja dhidi ya Vipers katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa