read
news & Articles

Hivi hapa viingilio vya mchezo wetu dhidi ya Horoya Jumamosi
Kiingilio cha chini katika mchezo wetu wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya kutoka Guinea utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya

Timu Kuingia Kambini jioni Kujiandaa na Horoya
Kikosi chetu kitaingia kambini baada ya mazoezi ya jioni kujiandaa na mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya kutoka Guinea utakaopigwa

Timu kurejea Dar usiku huu
Baada ya ushindi wa mabao 3-0 tuliopata dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa Manungu Complex kikosi kimeanza

Baleke alezea furaha ya kupiga hat trick
Mshambuliaji Jean Baleke ameweka wazi kuwa amefurahi kufunga mabao matatu ‘hat trick’ kwa mara ya kwanza akiwa na kikosi chetu. Baleke amefunga hat trick hiyo

Baleke apiga hat trick tukiichapa Mtibwa Manungu
Mabao matatu ‘hat trick’ yaliyofungwa na mshambuliaji Jean Baleke yametosha kutupa ushindi wa 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Mtibwa Leo
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Manungu Complex kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Roberto Oliviera