read

news & Articles

Tumepata mwaliko maalumu kutoka Al Hilal

Kikosi chetu kimepokea mwaliko maalumu kutoka kwa Klabu ya Al Hilal ya Sudan kushiriki michuano maalum ambayo itaanza kufanyika wiki ijayo. Tukiwa nchini Sudan tutacheza

Wachezaji wapewa mapumziko ya siku tatu

Baada ya ligi kusimama kupisha mechi za kufuzu Fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) katika ya Tanzania na Uganda wachezaji wamepewa mapumziko ya

Tumechukua tatu kutoka kwa Kagera

Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa.

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC