Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Yanga Princess

Leo saa 10 jioni kikosi cha Simba Queens kitashuka katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kuikabili Yanga Princess katika mchezo wa Ligi ya Wanawake (Serengeti Lite Women’s Premier League).

Mchezo wa leo utakuwa ni tofauti na ule wa mzunguko wa kwanza uliomalizika kwa sare ya bao moja kwakuwa tutaingia tukiwa vinara wa ligi kwenye msimamo.

Kikosi Kamili kilivyopangwa:

Gelwa Yohna (21), Daniela Ngoyi (22), Fatuma Issa (5), Violeth Nicholaus (26), Ruth Ngosi (20), Danai Bhobho (40), Vivian Corazone (4), Mwanahamisi Omary (7), Asha Djafari (24), Aisha Juma (10), Jentrix Shikangwa (25).

Wachezaji wa Akiba:

Janeth Shija (30), Esther Bessa (23), Diana Mnally (15), Joelle Bukuru (18), Pambani Kuzoya (17), Amina Hemedi (23), Barakat Olaiya (9), Asha Rashid (33), Zainabu Mohamed (8).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER