read
news & Articles

Queens yaichapa Fountain Jamhuri Dodoma
Simba Queens imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo wa Ligi ya Wanawake Serengeti Lite Women’s Premier League kwenye

Okrah fiti kuivaa Ihefu Ijumaa
Kiungo mshambuliaji, Augustine Okrah amepona majeraha yaliyokuwa yanamsumbua na sasa yupo tayari kurejea uwanjani Ijumaa katika mchezo wa Robo Fainali ya Azam Sports Federation Cup

Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Fountain Gate
Leo saa 10 jioni kikosi cha Simba Queens kitashuka katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kuikabili Fountain Gate kwenye mchezo wa Ligi ya Wanawake ya

Queens Kamili kuivaa Fountain Gate Kesho
Simba Queens kesho saa 10 jioni itashuka katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kuikabili Fountain Gate kwenye mchezo wa Ligi ya Wanawake ya Serengeti Lite

Droo ya Robo Fainali kupangwa Jumatano Cairo
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limetangaza droo ya hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2022/23 itapangwa Jumatano, Aprili 5 jijini Cairo,

Tumekabidhiwa ‘Mzigo wa mama’ baada ya kutua Dar
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ametukabidhi pesa taslimu Sh. 5,000,000 ‘Mzigo wa mama’ ikiwa ni ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,