Leo saa 10 jioni kikosi cha Simba Queens kitashuka katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kuikabili Fountain Gate kwenye mchezo wa Ligi ya Wanawake ya Serengeti Lite Women’s Premier League (SLWPL).
Hiki hapa kikosi kilivyopangwa na kocha Charles Lukula:
Caroline Rufa (28), Daniela Ngoyi (22), Fatuma Issa (5), Violeth Nicholous (26), Ruth Ingosi (20), Danai Bhobho (40), Joelle Bukuru (18), Falonne Pambani (17), Zainabu Mohamed (8), Aisha Juma (8), Jentrix Shikangwa (25).
Wachezaji wa Akiba:
Zubeda Mohamed (29), Esther Bessa (23), Dianna William (15), Mwanahamisi Omary (7), Asha Djafar (24), Amina Hemedi (23), Barakat Olaiya (9), Asha Rashid (33), Koku Kipanga (19).