read
news & Articles

Timu kuondoka mchana kuelekea Mtwara
Kikosi chetu kitaondoka muda mfupi ujao kutoka hapa Ruangwa kuelekea Mtwara tayari kwa mchezo wa nusu fainali ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya

Queens yaichapa Alliance Girls Uhuru
Simba Queens imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Alliance Girls katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite Women’s Premier

Ally Salim Mchezaji Bora Aprili
Mlinda mlango Ally Salim, amechaguliwa mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Aprili (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month). Ally ambaye ameonyesha uwezo

Alichosema Mgunda baada ya sare dhidi ya Namungo
Kocha Msaidizi Juma Mgunda, amesema baada kupata sare ya kufungana bao moja dhidi ya Namungo katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa

Tumegawana pointi na Namungo Majaliwa
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC uliopigwa Uwanja wa Majaliwa umemalizika kwa sare ya kufungana bao moja. Mchezo ulianza kwa

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Namungo
Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Majaliwa kuikabili Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Mkuu, Roberto Oliviera