read

news & Articles

M-BET wadhamini wakuu Simba Queens

Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya M-Bet imeingia mkataba wa miaka mitano na klabu yetu kwa ajili ya kuidhamini Timu ya Wanawake ya Simba Queens.

Queens kuondoka kesho na matumaini kibao

Kocha Mkuu Charles Lukula amesema kikosi chake kitaondoka kesho alfajiri kuelekea nchini Morocco kikiwa na matumaini ya kufanya vizuri kwenye Michuano ya Ligi ya Mabingwa

Baada ya sare timu kurejea mazoezini

Kikosi chetu leo jioni kitarejea mazoezini kujiandaa na mchezo unaofuata wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Alhamisi

Mgunda: Tulipambana

Kocha Mkuu Juma Mgunda, amesema wachezaji walipambana wakati wote wa mchezo dhidi ya watani wetu Yanga lakini hatukufanikiwa kupata alama tatu. Mgunda amesema wachezaji walicheza

Tumegawana pointi na mtani

Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi watani wetu ya jadi Yanga uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa umemalizika kwa sare ya bao moja. Tulianza

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC