read
news & Articles

Che Malone: Najisikia fahari kuwa sehemu ya Simba
Mlinzi wa kati Che Fondoh Malone amesema anajisikia fahari kuwa sehemu ya kikosi kitakachoiwakilisha timu yetu kwenye msimu mpya wa mashindano 2023/24. Che Malone ambaye

Robertinho: Kesho ni siku kubwa kwa Wanasimba
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema kesho ni siku muhimu na kubwa kwa Wanasimba wote sababu wanasubiri kwa hamu kuiona timu yao kwa ajili ya

Rasmi Simba ndani ya Makumbusho ya Taifa
Tumekuwa klabu ya kwanza Tanzania kuweka taarifa na kumbukumbu zetu kwenye Makumbusho ya Taifa ili vizazi vya sasa na vijavyo kupata nafasi ya kutembelea na

Rais Samia Mgeni rasmi Simba Day
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika kilele cha Tamasha la Simba Day litakalofanyika Jumapili, Agosti 6

Rasmi Uwanja Umejaa
Zikiwa zimesalia siku tatu kabla ya kilele cha Simba Day tiketi zote 60,000 zinazojaza Uwanja wa Benjamin Mkapa zimeuzwa (Sold Out). Hii ni mara ya

Baada ya kambi ya Uturuki Robertinho autaka ubingwa
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amefurahi ubora wa kikosi tulichonacho kuelekea msimu mpya wa mashindano 2023/24 huku akiweka wazi malengo yetu ni kuchukua mataji ya