read
news & Articles

Robertinho: Timu bora uwanjani imeshinda
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema tulikuwa bora zaidi ya Singida Fountain Gate na tumestahili kushinda ingawa ilikuwa kwa penati. Robertinho amesema tulikuwa bora maeneo

Tumetinga Fainali Ngao ya Jamii
Kikosi chetu kimefanikiwa kutinga fainali ya Ngao ya Jamii baada ya kuifunga Singida Fountain Gate kwa mikwaju ya penati 4-2 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa

Kikosi kilichopangwa kuikabili Singida FG
Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga kuikabili Singida Fountain Gate kwenye Mchezo wa pili wa Ngao ya

Tabiri: Kikosi kitakachopangwa dhidi ya Singida FG
Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga kuikabili Singida Fountain Gate kwenye Mchezo wa pili wa Ngao ya

Alichosema Robertinho kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Singida
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema maandalizi ya mchezo wa kesho wa Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Fountain Gate FC yamekamilika. Robertinho amesema wachezaji

VIDEO: Ahmed aelezea kuhusu vibali vya wachezaji
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally amesema vibali vya wachezaji wote vitakuwa vimepatikana kabla ya kuanza mchezo wetu wa kesho dhidi ya Singida