Kikosi kilichopangwa kuikabili Singida FG

Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga kuikabili Singida Fountain Gate kwenye Mchezo wa pili wa Ngao ya Jamii.

Kikosi kilichapangwa hakina mabadiliko makubwa ukilinganisha na kilichoanza mchezo wa mwisho tuliocheza na Power Dynamos kwenye kilele cha Simba Day.

Hiki hapa kikosi…..

Ally Salim (1), Shomari Kapombe (12), Mohammed Hussein (15), Che Malone (20), Henock Inonga (29), Sadio Kanoute (8), Kibu Denis (38), Mzamiru Yassin (19), Jean Baleke (4), Saido Ntibazonkiza (10), Willy Onana (7)

Wachezaji wa Akiba:

Hussein Abel (30), Israel Mwenda (5), Fabrice Ngoma (6), Luis Miquissone (11), Abdallah Hamisi (13), John Bocco (22), Moses Phiri (25), Kennedy Juma (26), David Kameta (3).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER