Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga kuikabili Singida Fountain Gate kwenye Mchezo wa pili wa Ngao ya Jamii.
Unadhani Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ atapanga kikosi gani kwenye mchezo wa leo.