read
news & Articles

Tumezipata Pointi tatu za Singida
Kikosi kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa Liti. Mchezo

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Singida FG Leo
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ hajafanya mabadiliko yoyote kwenye kikosi kitakachoikabili Singida Fountain Gate ukilinganisha na kile kilichoibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya

Leo tupo Liti kupigania pointi tatu
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Liti kuikabili Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Wachezaji wamefanya mazoezi


Robertinho: Tutashusha kikosi Kamili dhidi ya Singida Kesho
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema katika mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Fountain Gate utakaopigwa Uwanja wa Liti atapanga

Tumepangwa kundi B Mabingwa Afrika
Droo hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika iliyofanyika jijini Johannesburg; Afrika Kusini imekamilika na tumepangwa kundi B. Katika kundi letu tumepangwa pamoja na