Tumepangwa kundi B Mabingwa Afrika

Droo hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika iliyofanyika jijini Johannesburg; Afrika Kusini imekamilika na tumepangwa kundi B.

Katika kundi letu tumepangwa pamoja na timu za Wydad Casablanca ya Morocco, ASEC Mimosas (Ivory Coast) na Jwaneng Gallaxy ya Botswana.

Mechi za mzunguko wa kwanza zitakafanyika kati ya Novemba 24-25 ambapo kila timu lazima zikutane mara mbili nyumbani na ugenini.

Timu mbili za kwanza zitaingia moja kwa moja kwenye hatua ya 16 bora.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER