Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Singida FG Leo

Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ hajafanya mabadiliko yoyote kwenye kikosi kitakachoikabili Singida Fountain Gate ukilinganisha na kile kilichoibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Tanzania Prisons.

Ni mara chache sana kuona Robertinho anapanga kikosi bila kufanya mabadiliko yoyote kutoka kwenye mechi iliyopita.

Hiki hapa kikosi Kilichopangwa:

Ally Salim (1), Shomari Kapombe 12), Mohamed Hussein (15), Kennedy Juma (26), Che Malone (20), Mzamiru Yassin (19), Fabrice Ngoma (6), Clatous Chama (17), John Bocco (22), Said Ntibazonkiza (10), Kibu Denis (38).

Wachezaji wa Akiba:

Hussein Abel (30), Israel Patrick (5), Hussein Kazi (16), Sadio Kanoute (8), Luis Miquissone (11), Willy Onana (7), Shaban Chilunda (27), Jean Baleke (4), Moses Phiri (25).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER