read
news & Articles

CEO Kajula aishukuru Serikali
Mtendaji Mkuu wa Klabu, Imani Kajula ameishukuru Serikali kwa ukarabati mkubwa iliyofanya kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa ambao tutautumia kwenye mchezo wa ufunguzi wa michuano

Hamasa ya AFL kuzinduliwa Jumamosi Coco Beach
Kuelekea ufunguzi wa michuano ya African Football League (AFL) tumekuwa na utaratibu wa kufanya hamasa kwa ajili ya kuwafanya mashabiki wajitokeze kwa wingi na safari

Hivi hapa viingilio vya mchezo wa ufunguzi wa AFL
Ufunguzi wa michuano ya African Football League utafanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Oktoba 20 saa 12 jioni na tayari viingilio vimewekwa hadharani. Katika ufunguzi

Kikosi charejea, wachezaji wapewa mapumziko
Baada ya mchezo wa jana tulioibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Fountain Gate, kikosi chetu kimerejea jijini Dar es Salaam mchana huku

Chama, Che Malone, Kapombe wachuana mchezaji bora Septemba
Nyota wetu watatu wameingia fainali ya kumtafuta mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Septemba (Simba Fans Player of the Month). Nyota hao ni kiungo mshambuliaji,

Robertinho: Haikuwa rahisi kupata pointi tatu Liti
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ ameweka wazi mchezo dhidi ya Singida Fountain Gate ulikuwa mgumu, haikuwa rahisi kuondoka na alama zote tatu katika Uwanja wa