read
news & Articles

Robertinho: Sina presha na mchezo wa kesho
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ ameweka wazi kuwa hana presha yoyote kuelekea mchezo wa kesho wa ufunguzi wa michuano ya African Football League (AFL) dhidi

Bocco awataja mashabiki mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly
Nahodha wa timu, John Bocco amesema licha ya ugumu tutakaoupata kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly lakini uwepo wa mashabiki ambao watakuja kwa

Goli la mama larejea AFL
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni na Michezo, Gerson Msigwa amesema Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ataendelea kutoa pesa ‘goli la mama’ kwa

Ahmed: Hatukupewa nafasi ya kufungua AFL kwa bahati mbaya
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally amesema Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limetupa uwenyeji wa kufungua michuano ya African Football League (AFL)

Zoezi la kuipamba Dar imeanza Magomeni
Zoezi la kubandika picha za hamasa kuelekea ufunguzi wa African Football League limeanza rasmi Magomeni Mikumi katika Tawi la Mpira Pesa. Zoezi hilo limeongozwa na

Tumepata ushindi dhidi ya Dar City
Kikosi chetu kimefanikiwa kupata ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Dar City katika mchezo wa kirafiki uliopigwa Uwanja wa Mo Simba Arena. Mchezo wa leo