read
news & Articles

Alichosema Robertinho baada kupoteza Derby
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema kipigo cha mabao 5-1 tulichopata kutoka kwa watani Yanga ni sehemu ya mpira. Robertinho amesema kipindi cha pili tulipoteza

Tumepoteza Derby ya Kariakoo
Mchezo wetu wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa umemalizika kwa kupoteza kwa mabao 5-1. Yanga walipata bao la mapema

Aishi arejea langoni Derby ya Kariakoo
Mlinda mlango, Aishi Manula amerejea langoni katika mchezo wa leo wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakaopigwa

Tupo tayari kwa Derby ya Kariakoo
Leo saa 11 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mchezo dhidi ya Yanga

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa kesho wa Derby ya Kariakoo dhidi ya watani wa jadi

Robertinho: Tunazitaka pointi tatu za Yanga Kesho
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ ameweka wazi kuwa tutaingia kwenye mchezo wa kesho wa Derby ya Kariakoo dhidi ya watani wa jadi ya Yanga kwa