read
news & Articles

Leo tupo Liti kupigania pointi tatu
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Liti kuikabili Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Wachezaji wamefanya mazoezi


Robertinho: Tutashusha kikosi Kamili dhidi ya Singida Kesho
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema katika mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Fountain Gate utakaopigwa Uwanja wa Liti atapanga

Tumepangwa kundi B Mabingwa Afrika
Droo hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika iliyofanyika jijini Johannesburg; Afrika Kusini imekamilika na tumepangwa kundi B. Katika kundi letu tumepangwa pamoja na

Droo ya Ligi ya Mabingwa kupangwa Leo Afrika Kusini
Droo rasmi ya hatua ya makundi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika itapangwa leo katika jiji la Johannesburg nchini Afrika Kusini saa tisa mchana.

Robertinho: Tumeonyesha Ukubwa wa Simba
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema katika ushindi wa mabao 3-1 tuliopata dhidi ya Tanzania Prisons umeonyesha ukubwa na ubora wa timu yetu. Robertinho amesema
