read
news & Articles

Tupo Obeid Ituni Chilume Leo
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Obeid Ituni Chilume kuibali Jwaneng Galaxy katika mchezo wa pili wa hatua ya makundi ya

Queens yaichapa Ilala
Timu yetu ya Simba Queens imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya Ilala Queens katika mchezo wa kirafiki iliyofanyika Uwanja wa Veterani uliopo

Timu yatua salama Botswana
Kikosi chetu kimewasili salama nchini Botswana tayari kwa mchezo wa kesho wa hatua ya makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy utakaopigwa

Nyota 20 watakaosafiri kuifuata Jwaneng Botswana
Kikosi chetu kitaondoka kesho alfajiri kuelekea Botswana tayari kwa ajili ya mchezo wa pili hatua ya makundi dhidi ya Jwaneng Galaxy utakaopigwa Jumamosi katika Uwanja

Mchezo dhidi ya Jwaneng Galaxy kupigwa Fransictown
Mchezo wetu wa pili wa hatua ya makundi wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy utachezwa katika Mji wa Fransictown baadala ya Mji

Alichosema Kocha Benchikha baada ya kutua nchini
Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha amesema amefurahi kuiongoza Simba na amejipanga kuivusha kuitoa hapa ilipo na kuipandisha juu. Benchikha ametua nchini usiku huu kutoka nchini Algeria