Nyota 20 watakaosafiri kuifuata Jwaneng Botswana

Kikosi chetu kitaondoka kesho alfajiri kuelekea Botswana tayari kwa ajili ya mchezo wa pili hatua ya makundi dhidi ya Jwaneng Galaxy utakaopigwa Jumamosi katika Uwanja Obedi Itani Chilume uliopo katika Mji wa Francistown.

Kikosi kitaondoka na wachezaji 20 ambao tunaamini wataweza kutupatia matokeo chanya katika mchezo huo ambao tunafahamu utakuwa mgumu.

Kikosi kamili kitakachosafiri

Makipa:

Ayoub Lakred, Hussein Abel na Ally Salim

Walinzi:

Shomari Kapombe, Mohamed Hussein, Che Malone Fondoh, Henock Inonga, Kennedy Juma, Israel Mwenda na Hussein Kazi

Viungo:

Fabrice Ngoma, Sadio Kanoute, Mzamiru Yassin, Clatous Chama, Dennis Kibu, Saidi Ntibazonkiza, Luis Miquissone na Essomba Onana

Washambuliaji :

Jean Baleke na Moses Phiri

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER