read
news & Articles

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Gymkhana
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Gymkhana kujiandaa na mchezo wa kesho wa marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad

Benchikha: Mechi dhidi ya Wydad ni ya maamuzi kwetu
Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha amesema mchezo wa kesho dhidi ya Wydad Casablanca utaamua hatma yetu ya kutinga hatua ya 16 bora ya michuano ya Ligi

Timu yarejea mazoezini kujiandaa na Wydad
Kikosi chetu kimefanya mazoezi katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad Casablanca utakaopigwa Jumanne saa

Miso Misondo apagawisha Mbagala
DJ namba moja kwa sasa nchini, Miso Misondo na kundi lake wameongoza kikosi cha hamasa katika Uwanja wa Zakhem Mbagala kwa ajili ya kuwaita Wanasimba

Alichosema Benchikha baada ya ushindi dhidi ya Kagera
Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha amewasifu wachezaji kwa kucheza vizuri katika ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC

Tumepata alama tatu mbele ya Kagera
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar uliopigwa Uwanja wa Uhuru umemalizika kwa kupata ushindi wa mabao 3-0. Tulianza mchezo kwa