read
news & Articles

Matola aanza Kazi ashiriki mazoezi ya jioni
Kocha, Selemani Matola leo ameanza mazoezi kazi na ameshiriki katika mazoezi ya jioni wakati kikosi kikijiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC

Kocha Cadena afunguka kuhusu mchezo dhidi ya Namungo Kesho
Kaimu Kocha Mkuu, Daniel Cadena amesema maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo utakaopigwa kesho saa 10 jioni Uwanja wa Uhuru

TAARIFA KWA UMMA.
Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (

Wanne waitwa Stars
Nyota wetu wanne wameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi za kufuzu fainali za Kombe

Alichosema Robertinho baada kupoteza Derby
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema kipigo cha mabao 5-1 tulichopata kutoka kwa watani Yanga ni sehemu ya mpira. Robertinho amesema kipindi cha pili tulipoteza

Tumepoteza Derby ya Kariakoo
Mchezo wetu wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa umemalizika kwa kupoteza kwa mabao 5-1. Yanga walipata bao la mapema
