Tumepangwa kundi B Mapinduzi Cup

Makundi ya michuano ya Mapinduzi mwaka 2024 yamepangwa na kikosi chetu kimepangwa kundi B.

Kikosi chetu kimepangwa pamoja na timu za Jamhuri ya Zanzibar, Singida Fountain Gate na APR ya Rwanda.

Michuano hiyo inatarajia kuanza Desemba 28 na itafikia tamati Januari 13 siku moja baada ya kufanyika sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar.

Michuano ya Mapinduzi mwaka huu inatarajiwa kuwa migumu hasa ikichagizwa na ushiriki wa timu kutoka Uganda, Kenya, Rwanda na Burundi.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER