read
news & Articles

Kauli ya Matola kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Jamhuri
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema kikosi kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa robo fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya

Alichosema Ahmed baada ya usajili wa Sarr
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema usajili wa kiungo mkabaji, Babacar Sarr utaenda kutibu matatizo yote ya kiulinzi ya timu yetu. Ahmed

Babacar Sarr ni Mnyama
Tumemsajili kiungo mkabaji, Babacar Sarr raia wa Senegal mwenye umri wa miaka 26 kutoka US Monastir kwa mkataba wa miaka miwili. Sarr ni kiungo mwenye

Benchikha: Tumekutana na timu bora
Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha amesema APR ni timu bora na imetupa kipimo kizuri na uimara wa kikosi chetu ulipo kwa sasa. Benchikha amesema APR wanacheza

Tumegawana Pointi na APR
Mchezo wetu watatu wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya APR ya Rwanda uliopigwa katika Uwanja wa New Amaan Complex umemalizika kwa sare ya bila kufungana.

Kikosi chetu kitakachotuwakilisha dhidi ya APR
Leo saa 2:15 tutashuka katika Uwanja wa New Amaan Complex kuikabili APR kutoka Rwanda katika mchezo wa tatu wa Kombe la Mapinduzi. Kocha Mkuu Abdelhak