Kikosi chetu kitakachotuwakilisha dhidi ya APR

Leo saa 2:15 tutashuka katika Uwanja wa New Amaan Complex kuikabili APR kutoka Rwanda katika mchezo wa tatu wa Kombe la Mapinduzi.

Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha amefanya mabadiliko makubwa ya kikosi ili kuwapa nafasi ya kucheza wachezaji wote.

Kikosi kamili kilivyopangwa:

Hussein Abel (30), David Kameta (3), Israel Mwenda (5), Hussein Kazi (16), Kennedy Juma (26), Fabrice Ngoma (6), Jimmyson Mwanuke (21), Sadio Kanoute (8), Shabani Chilunda (27), Said Ntibazonkiza (10), Michael Chalamba (24)

Wachezaji wa Akiba:

Ahmed Teru (31), Shomari Kapombe (12), Che Malone (20), Abdallah Hamis (13), Luis Miquissone (11), Moses Phiri (25), John Bocco (27), Jean Baleke (4).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER