read
news & Articles

Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili JKT Queens
Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Azam Complex saa 10 jioni kuikabili JKT Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake. Hiki hapa kikosi cha

Alichosema Matola baada ya ushindi dhidi ya Jamhuri
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema tulistahili kupata ushindi mnono zaidi kama tungezitumia vizuri nafasi tulizotengeneza. Matola amesema tumetengeneza nafasi nyingi hasa kipindi cha kwanza lakini

Tumetinga Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi
Kikosi chetu kimefanikiwa kutinga nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Jamhuri bao moja katika mchezo uliopigwa Uwanja wa New Amaan

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Jamhuri Leo
Kikosi chetu leo saa 2:15 usiku kitashuka katika Uwanja wa New Amaan Complex kuikabili Jamhuri katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Mapinduzi. Kocha

Timu yafanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na Jamhuri
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa nje wa New Amaan Complex kuikabili Jamhuri katika mchezo robo fainali ya michuano ya Kombe Mapinduzi

Babacar aanza mazoezi Zanzibar
Kiungo mpya mkabaji, Babacar Sarr ameanza mazoezi ya utimamu wa mwili ili kujiweka sawa kabla ya kujiunga moja kwa moja na wenzake. Babacar amekamilisha usajili