Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Jamhuri Leo

Kikosi chetu leo saa 2:15 usiku kitashuka katika Uwanja wa New Amaan Complex kuikabili Jamhuri katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Mapinduzi.

Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha amefanya mabadiliko ya wachezaji saba katika kikosi ukilinganisha na kile kilichoanza dhidi ya APR.

Benchikha amewaanzisha Ayoub Lakred, Shomari Kapombe, Che Malone, Luis Miqussone, Abdallah Khamis, Jean Baleke na Willy Onana kuchukua nafasi za Hussein Abel, David Kameta, Hussein Kazi, Jimmyson Mwanuke, Sadio Kanoute, Shaban Chilunda na Michael Chalamba.

Kikosi Kamili kilivyopangwa:

Ayoub Lakred (40), Shomari Kapombe (12), Israel Patrick (5), Che Malone (20),, Kennedy Juma (26), Fabrice Ngoma (6), Luis Miqussone (11), Abdallah Khamis (13), Jean Baleke (4), Said Ntibazonkiza (10), Willy Onana (7).

Wachezaji wa Akiba:

Ally Salim (1), Duchu (3), Hussein Kazi (16), Babacar Sarr (33), Saleh Karabaka (23), Shaban Chilunda (27), Mohamed Mussa (14), Moses Phiri (25), John Bocco (22).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER