read
news & Articles

Karibu Nyumbani Jentrix Shikangwa
Mshambuliaji nyota Jentrix Shikangwa amerejea katika kikosi cha Simba Queens kutoka Beijing Jingtan ya China baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja. Jentrix raia wa

Matola: Tulitegemea mechi dhidi ya Singida ingekuwa ngumu
Kocha Msaidizi wa timu yetu, Seleman Matola amesema tulitegemea kupata upinzani mkubwa kutoka kwa Singida Fountain Gate katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la

Tumetinga Fainali ya Kombe la Mapinduzi
Kikosi chetu kimefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Singida Fountain Gate kwa mikwaju ya penati 3-2 kufuatia kutoka sare

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Singida Leo
leo saa 2:15 usiku tunashuka katika Uwanja wa New Amaan Complex kuikabili Singida Fountain Gate katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi. Hiki

Mawaziri Zanzibar watupongeza kwa kutangaza Utalii
Waziri wa Utamaduni Vijana na Michezo Zanzibar, Mh. Tabia Maulid Mwita ameupongeza Uongozi wa klabu kwa maamuzi ya kutangaza vivutio vya Utalii katika kipindi hiki

Maandalizi ya Mchezo dhidi ya Singida FG yanaendelea vizuri
Kocha Msaidizi Seleman Matola amesema maandalizi ya mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Singida Fountain Gate utakaopigwa kesho katika Uwanja wa