read
news & Articles

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Kagera Leo
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Uhuru kuikabili Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha

Tabiri kikosi kitakachopagwa dhidi ya Kagera Leo
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Uhuru kuikabili Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tabiri hapa kikosi ambacho

Tumerejea NBCPL
Baada ya kupita mwezi mzima leo tumerejea kwenye Ligi Kuu ya NBC na tunaikaribisha Kagera Sugar katika mchezo ambao utapigwa Uwanja wa Uhuru saa 10

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera

Miso Misondo kuongoza hamasa Mbagala Jumamosi
DJ Maarufu kwa sasa nchini, Hamisi Abdallah maarufu Miso Misondo ataongoza kikosi cha hamasa katika Uwanja wa Mbagala Zakhem siku ya Jumamosi kuelekea mchezo wetu

Benchikha azitaka pointi tatu za Kagera Kesho
Pamoja na kukiri ugumu kutokana na ubora wa Kagera Sugar kocha Mkuu Abdelhak Benchikha amesema tutaingia katika mchezo wa kesho kwa lengo la kutafuta pointi
