read
news & Articles

Queens yaanza kwa kishindo SWPL
Kikosi chetu cha Simba Queens kimeanza vema Serengeti Lite Women’s Premier League (SLWPL) baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Ceasiaa katika

Kikosi cha Simba Queens kilichopangwa kuikabili Ceasiaa Queens
Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili Ceasiaa Queens katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite Women’s Premier

Mwana FA akabidhi pesa za goli la mama
Naibu Waziri wa Sanaa Utamaduni na Michezo, Mh. Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ amemkabidhi nahodha msaidizi Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ milioni 10 kwa ajili pesa za

Tumechukua pointi tatu kwa Wydad
Kikosi chetu kimeondoka na pointi zote tatu nyumbani baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Wydad Casablanca katika mchezo wa hatua ya

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Wydad Leo
Muda mfupi ujao kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Wydad Casablanca kutoka Morocco katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika. Kocha

Ni mechi ya maamuzi kwa Mkapa leo
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Wydad Casablanca katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao utakuwa ni
