Kikosi cha Simba Queens kitashuka katika Uwanja wa Karume Musoma kuikabili Bunda Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake raundi ya sita utakaopigwa saa 10 jioni.
Kikosi kamili kilivyopangwa:
Carolyene Rufa (28), Fatuma Issa (5), Ruth Ingosi (20), Esther Mayala (23), Violeth Nicholaus (26), Vivian Corazone (17), Danai Bhobo (40), Aisha Juma (10), Jentrix Shikangwa (25), Asha Djafar (24), Elizabeth Wambui (4).
Wachezaji wa Akiba:
Gelwa Yonah (21), Dotto Evarist (11), Mwanahamisi Omary (7), Wema Richard (3), Ritticia Nabbosa (27), Asha Rashid (14), Joanitah Ainembabazi (16), Shelda Boniface (39), Olaiya Barakat (9).