read
news & Articles

Tupo tayari kuikabili KMC
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi kuikabili KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tunaingia kwenye mchezo

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi KMC utakaopigwa

Mechi zetu nne zimeahirishwa
Bodi ya Ligi (TPLB) imehairisha baadhi ya mechi zetu ili kupisha mchezo kati ya timu ya taifa ya Zanzibar Heroes na Tanzania Bara ambayo itatumika

Matola: Mchezo dhidi ya KMC utakuwa mgumu
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya KMC utakuwa mgumu kutokana na ubora wa wapinzani hao. Matola

Chama, Kapama wasimamishwa
Uongozi wa klabu umewasimamisha wachezaji wawili viungo, Clautos Chama na Nassor Kapama kutokana na vitendo vya utovu wa nidhamu. Kufuatia vitendo hivyo wachezaji hao watapelekwa

Tumepangwa kundi B Mapinduzi Cup
Makundi ya michuano ya Mapinduzi mwaka 2024 yamepangwa na kikosi chetu kimepangwa kundi B. Kikosi chetu kimepangwa pamoja na timu za Jamhuri ya Zanzibar, Singida
