VIDEO: Mazoezi ya kwanza baada ya kikosi kurejea

Kikosi kimeanza mazoezi ya gym kuweka miili sawa baada ya mapumziko ya wiki mbili waliyopata wachezaji tangu kumalizika kwa michuano ya Kombe la Mapinduzi.

Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi mazoezi hayo yalivyokuwa.

 

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER