read
news & Articles

Manula arejea langoni Kimataifa baada ya muda mrefu
Mlinda mlango Aishi Manula ameanza kwenye kikosi chetu kitakachoshuka dimbani kuikabili ASEC Mimosas usiku huu. Mara ya mwisho Manula kucheza mechi ya kimataifa ilikuwa mchezo

Mambo matano muhimu kuelekea mchezo wetu dhidi ya ASEC Mimosas
Leo saa nne usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Felix – Houphouet – Boigny kuikabili ASEC Mimosas katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya

Tunacheza mchezo muhimu Felix – Houphouet Leo
Kikosi chetu leo saa nne usiku kitashuka katika Uwanja wa Felix – Houphouet kuikabili ASEC Mimosas katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Timu yafanya mazoezi ya mwisho
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Felix – Houphouet – Boigny tayari kwa kujiandaa na mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa

Kauli ya Kocha Benchikha kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya ASEC
Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha amesema malengo yetu kwenye mchezo wa kesho wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas ni kupambana ili

Manula: Hatuna presha na mchezo dhidi ya ASEC
Mlinda mlango Aishi Manula amesema pamoja na ugumu na umuhimu wa mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas utakaopigwa Ijumaa