read
news & Articles

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Jwaneng Galaxy
Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Jwaneng Galaxy katika mchezo wa marudiano wa hatua makundi ya Ligi ya

Leo Tunacheza Fainali dhidi ya Jwaneng
Saa moja usiku tutashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Jwaneng Galaxy katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Hamasa kwenye Mabasi ya Mwendokasi ni ‘Bab Kubwa’
Zoezi la hamasa kuelekea mchezo wetu wa mwisho wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy utakaopigwa Jumamosi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa imeingia

Tumetinga hatua ya 16 ASFC kwa kishindo
Kikosi chetu kimetinga hatua ya 16 bora ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 6-0 dhidi ya TRA

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya TRA leo
Saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili TRA kutoka Kilimanjaro katika mchezo wa hatua ya 32 bora ya Azam Sports

Ahmed: Tukilitaka jambo letu hakuna wa kutuzuia
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amesema tumejiandaa ndani na nje ya uwanja kuelekea mchezo wetu wa mwisho wa hatua ya makundi ya