Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Jwaneng Galaxy

Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Jwaneng Galaxy katika mchezo wa marudiano wa hatua makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Hiki hapa kikosi kilichopangwa:

Ayoub Lakred (36), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Che Malone (20), Henock Inonga (29), Babacar Sarr (33), Kibu Denis (38), Fabrice Ngoma (6), Pa Omar Jobe (2), Said Ntibazonkiza (10), Clatous Chama (17).

Wachezaji wa Akiba

Aishi Manula (28), Israel Patrick (5), Kennedy Juma (26), Edwin Balua (37), Mzamiru Yassin (19), Freddy Michael (18), Abdallah Hamisi (13), Luis Miqussone (11), Ladaki Chasambi (34)

 

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER