read
news & Articles

Tumefanya Mazoezi ya mwisho CCM Kirumba
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa CCM Kirumba kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Geita Gold.

Kauli ya Kocha Cadena kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Geita Gold
Kocha wa Makipa, Daniel Cadena amesema kikosi kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Geita Gold utakaopigwa

VIDEO: Timu yafanya mazoezi ya utimamu wa mwili
Baada ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC kikosi chetu leo jioni kimefanya mazoezi ya utimamu wa mwili ili kuweka miili

Highlights: Simba 1-1 Azam FC
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC uliopigwa Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza umemalizika kwa sare ya kufungana bao moja. Tazama

Tumetoka sare na Azam Kirumba
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC uliopigwa Uwanja wa CCM Kirumba umemalizika kwa sare ya kufungana bao moja. Prince Dube aliwapatia

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Azam FC Leo
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa CCM Kirumba kuikabili Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Abdelhak Benchikha
