read
news & Articles

Timu kuondoka Alfajiri kuelekea Misri
Msafara wa takribani watu 50 mpaka 60 utaondoka kesho saa 11 alfajiri kuelekea nchini Misri tayari kwa mchezo wa Ijumaa wa marudiano wa robo fainali

Tumepoteza nyumbani dhidi ya Al Ahly
Mchezo wetu wa mkondo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Al Ahly uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa umemalizika kwa kupoteza

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Al Ahly Leo
Kikosi chetu leo saa tatu usiku kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Al Ahly kwenye mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Safari yetu ya nusu fainali Afrika inaanza leo kwa Mkapa
Ni ndoto ya kila Mwanasimba kuiona timu yake ikitinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na leo saa tatu usiku safari yetu inaanza rasmi.

Kauli ya Benchikha kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly
Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha amesema kikosi chetu kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly utakaopigwa

Ahmed awaita Wanambande Kwa Mkapa Ijumaa
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amewaomba mashabiki wa maeneo ya Mbande, Kisewe na Chanika Mbondele kujitokeza kwa wingi katika Uwanja wa Benjamin