read
news & Articles

Timu yaanza mazoezi Zanzibar
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya kwanza Visiwani Zanzibar tayari kwa kujiandaa na mechi zetu za Ligi Kuu ya NBC zilizosalia. Kikosi kimewasili hapa Zanzibar saa

Timu yaelekea Zanzibar kuweka kambi
Kikosi chetu kimeondoka mchana kuelekea Zanzibar kwa ajili ya kambi ya siku tatu kujiandaa na mechi zetu za Ligi Kuu ya NBC zilizosalia. Tumeamua kuweka

Queens yapata ushindi dhidi ya Ceasiaa
Timu yetu ya Wanawake ya Simba Queens imefanikiwa kupata ushindi wa bao moja dhidi ya Ceasiaa Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliopigwa

Benchikha: Tuna changamoto kwenye kumalizia nafasi
Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha amesema changamoto yetu kubwa iliyopo kwenye kikosi chetu ni kumalizia nafasi tunazotengeneza. Benchikha amesema kila mchezo tunacheza vizuri na kumiliki sehemu

Tumegawana Pointi na Ihefu Uwanja wa Liti
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Ihefu FC uliopigwa Uwanja wa Liti mkoani Singida umemalizika kwa sare ya kufungana bao moja. Katika

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Ihefu FC
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Liti mkoani Singida kuikabili Ihefu FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Mkuu