read
news & Articles

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Zanzibar
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho jioni katika Uwanja wa nje wa New Amaan Complex kwa ajili ya mchezo wa nusu fainali ya Kombe la

Nyota 26 kuondoka mchana kuelekea Zanzibar
Kikosi cha wachezaji 26 benchi la ufundi pamoja na Viongozi kitaondoka saa sita mchana kuelekea Zanzibar tayari kwa kushiriki michuano ya Muungano. Michuano ya Muungano

Tumepoteza mechi ya Derby dhidi ya Yanga
Mchezo wetu wa Ligi kuu ya NBC dhidi ya watani wa jadi Yanga umemalizika kwa kupoteza kwa mabao 2-1 katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Benjamin

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Yanga Leo
Kikosi chetu leo saa 11 jioni kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Abdelhak Benchikha amefanya

Tupo Kamili kwa Derby ya Karikakoo
Kikosi chetu leo saa 11 jioni kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tunaingia katika mchezo wa

Matola: Tupo tayari kwa Derby Kesho
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema kikosi chetu kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya watani Yanga utakaopigwa kesho saa